Author: Unknown |
23:13 |
|
|
Mratibu
wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania, Boniventura F. Mwalongo akifafanua
jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye Viwanja vya Mnazi
Mmoja yalikofanyika Maonyesho ya Tiba Asili na Mbadala |
|
Dr.
Jumanne wa Huduma ya Uponyaji akimsikiliza mmoja wa waliotembelea Banda
lake kwenye Maonyesho ya Tiba za Asili na Mbadala katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja. Tiba zinazotolewa na Dk. Jumanne ni zile zinazotokana na
Matunda na Mboga Mbalmbali . Simu 0755087303 |
|
Dk.
Salimu akiwaeleza watu waliofika kwenye maonyesho ya dawa asili jinsi
dawa zake zinavyofanya kazi katika viwanja vya Mnazi Mmoja |
|
Dk.Ahmad
Darusi Salimu Mkurugenzi wa M. M.D.K Clinic akitoa maelezo ya jinsi
dawa zake zinavyotakiwa kutumika. Yeye amebobea katika kutibu Kansa za
aina zote na pia anayo dawa inayosaidia kuondoa magonjwa nyemelezi kwa
wagonjwa wa UKIMWI. Simu 0754467406, 0787467406 |
|
Mkurugenzi
wa Kampuniya Dk.Fadhili Herbal Medicine & Nutritional,akitoa
maelezo kwa wateja ((hawapo pichani) waliofika kwenye Banda lake wakati
wa Maonyesho ya Tiba za Asili na Mbadala yaliyofanyika Viwanja vya Mnazi
Mmoja hivi Karibuni. Dk. Fadhili pia ni Mshauri wa Afya katika Kampuni
ya BF SUMA kutoka Marekani inayojishuhulisha na usambazaji wa dawa
zenye Virutubisho vinavyoweza kuongeza kinga ya mwili (CD4) kwa 100%,
kurekebisha Sukari na zingine nyingi. Simu 0713834556 |
|
Dk.
Nyakubaho (katikati) Mkurugenzi wa Kikundi cha tiba Asili cha Nyakiziba
Shunga Tradtional Clinic. Wanazo dawa nyingi za kutibu maradhi
mbalimbali kama inavyoonekana Pichani. Simu 0784936177, 0755570321 |
|
Bi
EmilianaKokuhumuliza, Mtabibu wa asili anayetibu kwa kutumia mitishamba
kutoka Mkoa wa Kagera. anapatikana Mjini Morogoro. Simu 0766903297.
Picha zote na Muchunguzi Kamugisha wa ZUNGU
mhe.Kingunge Ngombale Mwilu akitembelea moja ya mabanda katika maonesho ya kwanza ya kimataifa ya tiba asili ya mwafrika
|
Karibuni Tabibu Tv. tutoe elimu juu ya Tiba asili, sisi ni wadau wakubwa na tuna kipindi maalumu kinaitwa Urithi
ReplyDelete